Friday, 23 November 2012

Ukosefu wa haki kwa Wakaazi na Wenyeji Jomvu,Mombasa

Barabara ya Jomvu kuu imekuwa kizungu mkuti kwa wakaazi wa Mombasa.

Serikali imeshindwa kuorodhesha utekelezaji wa Contractor alio pewa kandarasi hilo.

Ime dhihirika wazi kwamba huyo alie pewa kandarasi hilo ameshindwa na kazi na hafiki kiwango cha kuweza kutimiza kandarasi hilo, inashukiwa kwamba alipewa kandarasi hile ana wakubwa flani wanao msaidia.

Ni dhihirisho wazi kwamba kuna Ufisadi mkubwa unaendelea hapo.

Mpwani - Mkaazi wa Mombasa chagua kiongozi anaejali haki yako.

No comments:

Post a Comment

Ji husishe kwa maoni yako ndio ukweli upatikane kwa manufaa wetu