Tunao viongozi Pwani kwa masikitiko hawa shirikiana ki maendeleo bali ku lumbana kila kukicha..... Kwa mtazamo ni kwamba, Kuna kikunduki lenye ime jitenga na lao kubwa ni kumpinga Mheshimiwa Balala. No 1) Hassan Joho (Kisauni MP), Jeffa Kingi (Magarini MP), Masud Mwahima (Likoni MP), Mungaro (Malindi MP) na wengine. Il hali ni hiki ki kundi kina jiita CPG yani COast Parliementary Group. Wame kuwa pamoja tangu uchaguzi ya 2007.
Na hawaku simama hapo, Waka endelea kuweza kumpitisha mayor wanaemtaka, Ambayo ata wa hudumikia wao na sio Jiji La Mombasa. Baraza la Mombasa lime ongozwa kutoka 2008 mpaki hadi wa leo, Na matokeo tumeyaona - Ya ku funja moyo na ku sikitisha mpaka utalii mjini Mombasa ume shuka na asili mia 20% huku sehemu zengine za Kenya ikifanikiwa na ongezeko katika sekta ya Utalii.
Je tunataka watu sampuli hiyo kuendelea kuendesha Jiji letu??
Tuna skia fununu ya kwamba inatafanywa kama Mexico.
Samkalazako
ReplyDelete