Monday, 9 April 2012

Jimbo La Rasilmali

Mwambao wa Pwani ni jimbo lenye rasilmali kubwa kabisa, ukilinganisha na majimbo mengineo, ni wajibu wetu, na pia haki yetu, sisi kama wakaazi na wazaliwa wa pwani, tufaidike na rasilmali zetu mwanzo, kuliko wengine wowote kama ilivyo katika majimbo mengineo. Je hapa Pwani, hiyo ndiyo hali halisi kwa wenyeji wa jimbo hili?

No comments:

Post a Comment

Ji husishe kwa maoni yako ndio ukweli upatikane kwa manufaa wetu