Saturday, 9 June 2012

Obama na Kikundi cha ki Gaidi la Al Shabab


Wakuu wa vikundi vya ugaidi wako tayari kutoa ngamia 10 kwa ajili ya Obama




Masiku chache Baada ya serikali ya America umetangaza ya kwamba itampa yoyote mwenye atasaidia kwa ku kamatwa wakuu 7 wa kundi la Al Shabab waki ongozwa na Ahmed ABdi waw Mohammed watatoa zawadi la Millioni 7 DOllar za ki America. 

Baada ya hiyo kundi la Alshabab ilitoa mkanda wa sauti kwa mtandao wao na ku sema kwamba Serikali ya America ndio mfadhili wao mkubwa lakini kwa mkand a huo wali endelea ku sema ya kwamba Mwenye atawaletea Rais Obama watampa Ngamia kumi kama zawadi na mwenye atawaletea Hillary Clinton watampa zawadi ya ngamia 2. 

Hii inatokana baada ya America kutishwa na ku ungana na kikundi hizo mbiili, ALshabab na Al qaida hapo ma juzi. 

No comments:

Post a Comment

Ji husishe kwa maoni yako ndio ukweli upatikane kwa manufaa wetu