i don know if you are familiar with the name Robert alai…well if you are not, he is a paid blogger in the country and describes himself as tech blogger in twitter…well he is known for insulting pipo and for this very reason he was beaten inhumanly by some g4s guys..so after his awful beating, the bonoko fans produced a song for him…..
“Huyo sio mwizi, anatukananga watu kwa twitter, sasa ari kutiriwa na ware ma G4S…sasa akona hatawagojea…akatoka bio…sasa..ndio wakamuwekerea fibo, sasa kuekerewa fibo – ndio aka piga duru…
sasa kupiga duru waweka video yake online.
sasa kupiga duru waweka video yake online.
Hata juzi wariekera mwenzetu pare Virrage, aka futwa kazi.
Huyo sio mwizi mbaka watu wa iHub wanamujua.
Hata wewe unaweza wekerewa fibo utoe duru, na hiyo ukipigwa dio unawekerewa fibo and unajua hiyo huwezi jitoa.
Na nikupigwa bure na sio kuiba umeiba…nikutukana watu wa iHub umetukana. Na watu wa iHub warikuwa wamejaa hapo wote…na wanamujua!
Unajua mbaka wewe ujizuie, kwa sababu ukieda jera utateseka bure…huko hukuri – ni KUKURIWA. ”

he has been banned from IHUb and i most def hope he has learned his lesson…
Credits: mtakavitu.wordpress.com
No comments:
Post a Comment
Ji husishe kwa maoni yako ndio ukweli upatikane kwa manufaa wetu